Social Icons

Ijumaa, 10 Julai 2015

Baadhi ya maneno ya kichaga

NENO NA MAANA YAKE
Shimboni Shikamoo --(Habari yako?)
Shimboni mae/mbe Shikamoo mama/baba?
Nasicha -- Nzuri
Aika --Ahsante
*mae/mbe yanaweza kuwekwa mbele ya neno lolote la salamu m.f.) "Aika mae" "Aika mbe" Aika mana -- Ahsante mtoto
Rakucha,lakucha-- Usiku mwema
Chamecha Pole na...(hasa kwa safari)
Otana -- Pole na kazi.
Okora mae -Ahsante mama kwa kunipikia chakula
(Okora mae lipo ila huwezi kusema "Okora mbe" useme tu "Aika mbe" kama baba akipika chakula labda)
Nokyelaonacho? Nukelaho u? - Unaitwa nani?(hii inategemea ni mchaga wawapi)
Ngikyelao? Njikelaho? ~~~ Naitwa ~~~
Oroka, Horoka-- Simama
Ramia, Damia-- Kaa
Tikira --Sogea Shinde! Nnde-- Twende!
Ngicho njaa mae , Njiicho Njaa mae-- Nina njaa mama
Ngacho gicho kie , njiicho njichokie -- Nimechoka
Gayuja mae, Ngaihuda mae- Nimeshiba mama
Ngicho nbeyo,njiicho mbeo-- Nina baridi
Ngicho mrike,njiicho mrike Ninasikia joto
maruwa-- maziwa
(Ruwa ina maana ya Mungu kwao katika kichaga ila hapa "maruwa" halihusiani na Ruwa)
memba--Ndizi
Maimba --mahindi
mbuya --rafiki

Maoni 51 :

  1. Nakupenda sana kwakichaga ?

    JibuFuta
  2. Meemba ni mahindi na ndizi ni iruhu

    JibuFuta
  3. Napenda Sana kuongea kichaga

    JibuFuta
  4. Asanteh mama kwa yote ulionifanyia kwa kichaga unasemaje ?

    JibuFuta
  5. Ukitaka kusema bado nakupenda kwa kichaga

    JibuFuta
    Majibu
    1. Bado ngikukundi /ichi ni cha rombo

      Futa
  6. Mke kwa kichaga anaitwaje?

    JibuFuta
  7. Nipo na familia yangu hapa

    JibuFuta
  8. Siraki kusikia kwa kichaga

    JibuFuta
  9. Simba kwa kichaga anaitwaje

    JibuFuta
  10. Happy birthday to you kwa kipare

    JibuFuta
  11. Maaana ya neno la kichaga mbonaa

    JibuFuta
  12. He nikitaka kufundishwa kichaga kupitia cm inawezekana?

    JibuFuta
  13. Naitaji kujifunza

    JibuFuta
  14. Naomba msaada wa maana ya jina la Ndekia

    JibuFuta
  15. Natamaniiii sanaaa kujuaaaa kichagaa

    JibuFuta
  16. maruwa ni maziwa

    JibuFuta
  17. Jamani ndugu zangu naomba mniambie maana ya muziki kwa kichaga

    JibuFuta
  18. Baba kwa kichag unasemaje

    JibuFuta
  19. nini maana ya neno la kichaga 'esholati'

    JibuFuta
  20. Nimeipenda lugha ya kichaga pia nataman nijifunz

    JibuFuta
  21. Mpenzi kwa kichaga

    JibuFuta
  22. MH asilimia kubwa mnaongea kimarangu mbona lafuzi ya kimachame haipo? Kwamfano kichaga cha machame ctrit natamani nacho mkitafsir kwanitunatofautiana kamaiyo aika ruwa SS tunasema ekairuwa.
    Kiufupi najivunia kuwamchaga kwani hakuna mchaga fala,WACHAGA HOYEEEE.

    JibuFuta
  23. Maana ya neno amba loi kiswahili

    JibuFuta